MWANASHERIA MKUU AMTEMBELEA SPIKA MAKINDA OFISI NDOGO ZA BUNGE JIJINI DAR

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anne Makinda akimkaribisha ofisini kwake Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju wakati alipofanya ziara fupi ya kubadilishana mawazo.Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akitia saini kwenye kitabu cha wageni wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya kuanza kubadilshana mawazo. Ziara hiyo fupi imefanyika ofisi ndogo za bunge Dar-es-salaam.Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju akiwa kwenye mazungumzo ya kubadilishana mawazo na Spika wa Bunge Mheshimiwa Anne Semamba Makinda kwenye ofisi ndogo za bunge Dar-es-salaam.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment